Daily News Digital
Daily News Digital
  • Видео 21 789
  • Просмотров 26 639 619
MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO (UTI), MALARIA, SABABU KUONGEZEKA UGONJWA WA FIGO
ARUSHA: Watanzania wametakiwa kujikinga na Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) pamoja na kujikinga na ugonjwa wa Malaria kutokana na magonjwa hayo kuchochea hatari ya kupata magonjwa ya figo.
Wito huo umetolewa mapema leo Jumanne Juni 25, 2024 na Daktari bingwa wa magonjwa ya Figo kutoka Hospitali ya Saifee, wakati wa siku ya pili ya Kambi maalum ya Matibabu Mjini Arusha yaliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Makonda.
Dkt. Mercy kadhalika ameutaja ukanda wa Kaskazini kuwa miongoni mwa Kanda zinazoongoza kwa magonjwa ya Shinikizo la juu la damu pamoja na kisukari, Magonjwa ambayo yamekuwa sababu ya kuongezeka kwa hatari ya kupata magonjwa ya figo kwa watu wengi.
Follow us on:
FACEBOO...
Просмотров: 32

Видео

CP AWADHI AWAKABIDHI ASKARI WA KIKE BENDERA KWENDA ABUJA NIGERIA.
Просмотров 4914 часов назад
DAR ES SALAAM: Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadh Juma Haji, amewakabidhi askari wa kike bendera ya Taifa kwa ajili ya mafunzo Abuja, Nigeria. Mafunzo hayo ya Ukanda wa Afrika yatakayofanyika Julai 1-9, yanahusu uongozi, afya ya akili, na masuala ya ulinzi. CP Awadh amesisitiza nidhamu na uwakilishi mzuri wa Tanzania na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Amehimiza pia kut...
SIKUTEGEMEA KAMA TUNGEPATA HUDUMA BURE, TUNAMSHUKURU SANA RAIS SAMIA KWA HURUMA YAKE
Просмотров 4214 часов назад
ARUSHA: Ikiwa ni siku ya pili ya muendelezo wa kambi ya madaktari bingwa na wabobezi waliojikita kwa pamoja katika kutoa huduma za matibabu ya magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza bila malipo mkoani Arusha. Baadhi ya wananchi walionufaika na huduma hizo wametoa ya moyoni ambapo wamebainisha wazi kuwa hakutegemea hata siku moja kama wangekuja kupata huduma bora za matibabu ya afya bila mali...
WATANZANIA WATAKIWA KUJIEPUSHA NA MATUMIZI MAKUBWA YA CHUMVI NA SUKARI
Просмотров 7114 часов назад
ARUSHA: Meja Godfrey Mutafungwa, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya ndani nchini Tanzania amewataka watanzania kuzingatia lishe bora na kujiepusha na ulaji wa chumvi, sukari na mafuta mengi ili kujiepusha na magonjwa mengi ya ndani na yasiyo ya kuambukiza. Meja Dkt. Mutafungwa, miongoni mwa mabingwa wanaotoa huduma za matibabu kwenye Kambi ya Matibabu inayoendelea Mkoani Arusha, ametoa kauli hiyo mb...
"ARUSHA TUNAJENGA AFYA TU NA KUTAFUTA PESA"- RC MAKONDA
Просмотров 5814 часов назад
ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewataka Wakazi wa Mkoa wa Arusha Kumshukuru na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na maono yake na mapenzi mema aliyonayo kwa Watanzania. Mhe Makonda ametoa kauli hiyo leo Jumanne Juni 25, 2024 mara baada ya kukagua maendeleo ya utoaji wa huduma za vipimo na matibabu kwa wananchi wa Arusha k...
HALMASHAURI YA CCM WILAYA YA KIBAHA YALAANI VIKALI MAUAJI YA KADA WA CCM
Просмотров 2515 часов назад
KIBAHA: Halmashauri Kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha Mjini imetoka tamko la kulaani vikali matukio ya mauaji ya madereva wa bodaboda yanayoendelea katika maeneo mbali mbali na kusababisha baadhi ya wananchi kukosa amani kabisa kutokana na kuingiwa na hofu. Akitoa tamko hilo katika kikao cha halmashauri kuu ya chama Mwenyekiti wa (CCM) Wilaya ya Kibaha mjini Mwalimu Mwajuma Nyam...
HABARI KUU JUNI 25, 2024: WANAFUNZI WAPATIWA MAFUNZO YA UONGOZI
Просмотров 1115 часов назад
Mradi wa Beginit unaojiusisha na kutoa mafunzo ya uongozi kwa watoto leo Juni 25,2024 umetoa mafunzo ya uongozi kwa wanafunzi wa shule ya temeke na Toangoma sekondari wenye lengo la kuwajengea uwezo wa kutafuta fursa katika jamii na kutatua changamoto zilizopo. Hayo ameyasema Elen Tropinova Mkuu wa Mradi huo wa Beginit kwenye mafunzo hayo yaliyofanyika JiJini Dar es salaam Juni Aidha ameongezea...
DC ATOA NENO KUKITHIRI MMOMONYOKO WA MAADILI
Просмотров 2916 часов назад
TANGA: Mkuu wa wilaya ya Pangani Mussa Kilakala amewataka wazazi na walezi kushirikiana na serikali katika kukemea vitendo vya mmonyoko wa maadili Kwa watoto. Rai hiyo ameitoa wakati wa kikao Cha kamati ya Halimashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi wilayani humo Cha kuwasilisha utekelezaji wa ilani ya Chama katika kipindi Cha kuanzia Januari hadi June mwaka huu. Imeandaliwa na Amina Omari Follow u...
WCF YAWAHIMIZA WAAJIRI MATUMIZI YA AKILI MNEMBA
Просмотров 5718 часов назад
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dk. John Mduma, amewahimiza waajiri nchini kutumia mifumo ya TEHAMA kupata huduma zitolewazo na Mfuko huo ili kupunguza gharama na kuokoa muda. Dk. Mduma ameyasema hayo wakati akitoa salamu za Mfuko kwenye mkutano wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) ulioambatana na kongamano la wadau lililokuwa na kauli mbiu “Akili...
HABARI LOCAL MWANZA
Просмотров 9119 часов назад
MWANZA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limezindua kampeni ya wiki moja ya ukaguzi wa magari yanayotoa huduma za usafirishaji wa wanafunzi katika Shule za Umma na Binafsi kwa kuzingatia maeneo saba kwenye gari husika . Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hiyo iliyozinduliwa Juni 24, 2024 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza Wilbroad Mutafungwa amewataka wakaguzi wa magari hayo kuzingatia ...
MADIRISHA 35 YA SHULE YAIBWA
Просмотров 442 часа назад
KATAVI: Jumla ya madirisha 35 ya aluminiam ya shule za msingi Shanwe na Kivukoni Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi yameibiwa na watu ambao bado hawajafahamika. Katika wizi huo uliotokea tarehe 19 Juni mwaka huu, shule ya msingi Shanwe yameibiwa madirisha 20 na madirisha 15 shule ya msingi Kivukoni. Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Jamila Yusuf akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda pamoj...
MUSUKUMA NA MPINA WARUSHIANA MANENO BUNGENI
Просмотров 2272 часа назад
DODOMA: MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina na Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma wamerushiana maneno bungeni mjini Dodoma leo wakati wa kujadili taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu sakata la Mpina. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: Spotileo-176... HabariLeo: habarileo/ DailyNews: dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: instagram.co...
#breakingnews MPINA ASIMAMISHWA
Просмотров 2032 часа назад
DODOMA: BUNGE limemsimamisha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhudhuria vikao 15 vya Bunge baana ya kubaini amekiuka kanuni za Bunge, kudharau Mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge. Awali Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa Mjini, Ally Makoa aliwasilisha maoni ya kamati juu ya ushahidi wa Mpina kuthibitisha tuhuma dhidi ya Waziri...
MAAMUZI MAGUMU YA KAMATI KWA MPINA
Просмотров 1822 часа назад
DODOMA: KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imeshauri kuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina apewe adhabu ya kutohudhuria vikao 10 au visivyozidi 15 vya Bunge kwa kitendo chake cha kukiuka kanuni za Bunge, kudharau mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge. Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa Mjini, Ally Makoa aliwasilisha maoni ya kamati hiyo kuhusu ushahidi ...
CCWT YAITISHA MKUTANO WA DHARURA
Просмотров 1382 часа назад
DODOMA: MWENYEKITI Wa Chama cha Wafugaji Tanzania CCWT, Mrida Mshota ameitisha mkutano wa dharura wa wafugaji wa chama hicho kwa lengo la kujadili mustakabali wa wafugaji nchini. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mjini Dodoma leo Mwenyekiti huyo ameeleza namna chama hicho ambavyo kimeanza kushughulikia changamoto za wafugaji. Imeandaliwa Benedict Msungu Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: fa...
KADUARA ATOA MAELEKEZO KWA WANAOHARIBU MISITU
Просмотров 322 часа назад
KADUARA ATOA MAELEKEZO KWA WANAOHARIBU MISITU
SERIKALI YASITISHA UKAGUZI WA RISITI ZA EFD KARIAKOO
Просмотров 3442 часа назад
SERIKALI YASITISHA UKAGUZI WA RISITI ZA EFD KARIAKOO
MBUNGE ATISHIA KULALA BUNGENI
Просмотров 342 часа назад
MBUNGE ATISHIA KULALA BUNGENI
RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU 'LIVE' MAKONDA, WAZUNGUMZA HAYA
Просмотров 8522 часа назад
RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU 'LIVE' MAKONDA, WAZUNGUMZA HAYA
WAITARA AIBUA SAKATA LA MASHOGA BUNGENI, ATAKA TAMKO LA SERIKALI
Просмотров 512 часа назад
WAITARA AIBUA SAKATA LA MASHOGA BUNGENI, ATAKA TAMKO LA SERIKALI
WAKANDARASI MRADI WA MAJI WAPEWA WIKI MBILI
Просмотров 352 часа назад
WAKANDARASI MRADI WA MAJI WAPEWA WIKI MBILI
MSUKUMA AFIKISHA SAKATA LA KARIAKOO BUNGENI
Просмотров 1812 часа назад
MSUKUMA AFIKISHA SAKATA LA KARIAKOO BUNGENI
SERIKALI YATAKIWA KUDHIBITI KAMARI
Просмотров 592 часа назад
SERIKALI YATAKIWA KUDHIBITI KAMARI
SERIKALI YAINGIA KWENYE MFUMO WA KIDIJITALI
Просмотров 1454 часа назад
SERIKALI YAINGIA KWENYE MFUMO WA KIDIJITALI
TAZAMA MABORESHO MIZANI YA TANROADS YALIVYODHIBITI RUSHWA
Просмотров 2674 часа назад
TAZAMA MABORESHO MIZANI YA TANROADS YALIVYODHIBITI RUSHWA
TAZAMA MFUMO WA KUDHIBITI UVUJAJI WA MITIHANI UNAVYOFANYA KAZI
Просмотров 744 часа назад
TAZAMA MFUMO WA KUDHIBITI UVUJAJI WA MITIHANI UNAVYOFANYA KAZI
MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WATENDAJI WA SERIKALI
Просмотров 1324 часа назад
MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WATENDAJI WA SERIKALI
UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WASOGEZWA
Просмотров 2114 часа назад
UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WASOGEZWA
MADIWANI WABANWA UKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI
Просмотров 554 часа назад
MADIWANI WABANWA UKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI
WANAWAKE TANGA WAFUNDWA
Просмотров 914 часа назад
WANAWAKE TANGA WAFUNDWA

Комментарии

  • @gidufanagafufen6737
    @gidufanagafufen6737 Час назад

    Asante George Kifuko kwa hoja yako

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 13 часов назад

    Aisee hiii hatari sana

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 13 часов назад

    Acha njaaa

  • @KASSIMABDULLA-wm7bn
    @KASSIMABDULLA-wm7bn 13 часов назад

    Uhakika kaka

  • @aminatambi9831
    @aminatambi9831 14 часов назад

    Wow!! Bibi Nyamaru hongera kwa Kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa .You do charges.Its me Amina ATT Kongwa Hospital as Clinical office.

  • @Beatricehoza
    @Beatricehoza 14 часов назад

    Dawa take nun sas

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 16 часов назад

    Magufuli mamboyalikua bilakwenda nnchi Za nnje wala mikopo

  • @YohanaMsungu-talent0220
    @YohanaMsungu-talent0220 День назад

    Sijui nirudi tena😂

  • @dismasBoy-gs9by
    @dismasBoy-gs9by День назад

    nipe bei au mpo wapi mmeficha mawasiliano

  • @dismasBoy-gs9by
    @dismasBoy-gs9by День назад

    mkowapi na bei ngani

  • @MashakaKalamba
    @MashakaKalamba День назад

    Magufuli - alikuwa na maono makubwa. Mungu amlaze mahali pema peponi.

  • @BunzariSisa-bi8jl
    @BunzariSisa-bi8jl День назад

    Duuu bunge

  • @rodaMatowo
    @rodaMatowo День назад

    Mungu awabariki sana awape maisha marefu mzidi kutusaidia sisi wa hali ya chini tutimize ndoto zetu

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 День назад

    Wapuuzi. Ni MAAMUZI YA MAGUFULI KUIJENGA RELI, UMEME, FLYOVERS ETC. VIVA MAGU VIVA

  • @DaudBoniphace-iw5pk
    @DaudBoniphace-iw5pk День назад

    Gwajims upon upande wangu had him leo

  • @BunzariSisa-bi8jl
    @BunzariSisa-bi8jl День назад

    Hakika

  • @johnabery-vn7eb
    @johnabery-vn7eb День назад

    Kichwa siyo kile kilichokua kinatangazwa mtandaon ap tumepigwa

  • @aminatambi9831
    @aminatambi9831 День назад

    CONGRATULATIONS BRITISH HIGH COMMISSION FOR BEEING KONGWA IN DODOMA IN TANZANIA.

  • @nicholausnyello1577
    @nicholausnyello1577 День назад

    R.I.P JPM

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 дня назад

    Pesa zitaliwa na wafanyakazi.

  • @HansChuma
    @HansChuma 2 дня назад

    Rip mzee wangu Magufuli😢😢😢

  • @lucaskoisha2681
    @lucaskoisha2681 2 дня назад

    Safi sana

  • @emmanuelkahangamabula6527
    @emmanuelkahangamabula6527 2 дня назад

    Magufuli apewe maua yake huko aliko❤

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 2 дня назад

    Guinea Bissau IPO mbali sana mheshimiwa

  • @apolnaryandrew4271
    @apolnaryandrew4271 2 дня назад

    Kwahiyo reli haiendi tena mwanza,? ni Tabora, kigoma hadi isaka?

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 дня назад

    Maono ya Prof janab yafanyiwe kazi

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 2 дня назад

    Arusha To Nairobi,Dodoma Arusha Dododoma Mbeya to Tabora mikoa yote ingunanishwe na pia viwanja vya ndege vyote vikubwa itapendeza sana .

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 2 дня назад

    Magufuli alisema mpaka wazungu waje kungalia kazi anayo fanya

  • @user-sp6sv3cg9d
    @user-sp6sv3cg9d 2 дня назад

    JPM Mungu akulaze Mahalo panapokustahili kwa maono yako nitakukumbuka maisha yangu yote natamani ungekuwepo na mengine ungeyaanzisha hongera piano mama kwa kuyaendeleza

  • @arafamoshi1197
    @arafamoshi1197 2 дня назад

    Tz to guinea Bissau mbali Sana

  • @ellamsakafu60
    @ellamsakafu60 2 дня назад

    Kazi mzuri mama Tanzania. Kwanza namsifu JPM kwa maono yake mazuri. Hadi alipotuacha alikuwa ameacha reli ya SGR katika vipande (lots) tatu; Dar - Moro, Moro - Dom na Mwanza - Isaka (stage ya mwanzo). Lakini SSH alipoingia madarakani siyo tu alisinzia bali kasi ya ujenzi iliongezeka ktk lots hizo. Lkn pia alianzisha lots zingine kama; Dom - Tabora, Tabora - Isaka, Tabora - Kigoma na Kigoma (Uvinza) - Msongati (Burundi). Ukiangalia utaona SSH amepiga kazi zaidi. Viongozi wote wanastahili pongezi. Big Up.

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 2 дня назад

    Gone but never be forgotten, Keep on sleeping True son of Mama Africa JJPM

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 2 дня назад

    Mbeba maono ni Magufuli,

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 День назад

      Mbeba maono ni Kikwete na Jpm msisahau, halafu mtekelezaji ni Magufuli

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 2 дня назад

    Jina lake mbona linawakosewa ni lipi sasa? EMBARO au EMBALO??

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 2 дня назад

    One men must be remembered, king JPM, well done rest in peace,,

  • @ibrahimobedi4498
    @ibrahimobedi4498 2 дня назад

    Wachumi kupamba watu sijui mradi ulianza mbali no tunaemjue siye Ni Dr John Pombe Magufuri yeye ndiye muhasisi wa mradi mpeni mtu kongore zake

    • @tinayotham9035
      @tinayotham9035 2 дня назад

      Hakika umeongea, JPM atabaki kuwa Muasisi wa SGR hamna na wala hatatokea mwingine. Rest In Peace Papa.

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 3 дня назад

    RIP JPM

  • @marwajoseph8060
    @marwajoseph8060 3 дня назад

    Magufuri aliona mbali vizuri huwa havidumu

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 дня назад

    Magufuli alibezwa wakati anaazisha ujenzi.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 дня назад

    Train aiendi mwanza tena ni kigoma😂😂😂

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 дня назад

    Huyu kiongozi nilijua ziro siku alipo sema system za malipo zina sumbua na kashindwa kusimamia foleni nikajua tu huu mradi kutoboa ni ngumu

  • @yustomwaisomania2587
    @yustomwaisomania2587 3 дня назад

    😭😂😂😂😂😂😂 kiongozi mkubwa hajui Guinea Bissau ipo upande gan wa Afrika et Central Africa 😂😂😂😂😂 maskin Kodi zetu

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 2 дня назад

      Inatokea hiyo wala sio tatizo hata wao watu magharibi hawana mpango na sisi hawajui tu Tanzania ipo wapi, nilishakutana na wa cameroon zaidi ya watatu kwa wakati tofauti wananiuliza Tanzania iko wapi, mmoja alisema tumepakana na south Afrika mwengine alithubutu kusema majirani zetu ni algeria sababu accent ya lugha yetu inakaribia kama kiarabu au kifaransa mwengine aliniuliza kama tupo karibu na ethiopia at least nowadays Nigeria huitambua Tanzania ipo karibu na Kenya tena hasa sababu ya kipindi cha covid tulijulikana sana kimataifa sababu mjomba Magu, dunia iliweka brake down yeye alifungua na Kenya wakafuata hivyo wengi wakaanza kuifuatilia Tz na hasa raisi magufuli na misimamo yake, ndio maana nchi kama Jamaika wenye asili ya Afrika ila wapo bara la America waliomboleza msiba wa magufuli tena kitaifa.

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 2 дня назад

      @@nassercurtis9579 Lakini huyo n Msomi amesoma iweje ashindwe kutambua kitu ambacho hata Mdg Wang wa darasa la tatu anakijua 😂😂😂😂😂😂😂

  • @yustomwaisomania2587
    @yustomwaisomania2587 3 дня назад

    RIP JPM 😭😭😭

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 дня назад

    Hongera sana Mama SAmia kwa kuendeleza maono ya JPM na kuyafikisha mahali pake. You are supper woman! Tunakupenda sana. Endelea kuwasweka ndani wala rushwa na wanaotaka kuturudisha nyuma. TRC mkiongozwa na mchapa kazi ndugu Masanja Kadogosa mnafanya kazi nzuri sana. I feel proud of my country. Keep it up

    • @MeenaHassan-fd9vv
      @MeenaHassan-fd9vv 3 дня назад

      wasukuma wachapakazi we siunaona jpm miaka 6 tuu tanzania 🇹🇿 imeshafunguka AWAMU zingine miaka 10 hakuna lolote nilirudi bongo 2015 barabara zilikuwa kama ulimi wa nyoka hicho kilikuwa kipindi cha jakaya kikwete ilikuwa noma, Home boy we kaa nje ya Tanzania kwa miaka mingi kid0go harafu rudi bongo kabla ya kipindi cha jpm huwezi amini jinsi utakavyoiona bongo utafikiri haina viongozi bongo tupo nyuma kimaendeleo " jpm humfananishi na kiongozi yoyote waliopita hapo Tanzania labda Nyerere tuuu rais mwenye uthubutu, kikwete anasema yeye ndiyo alitoa wazo la kujenga reli ya treni ya umeme lakini hakujenga so ni alikuwa anafurahi nafsi yake lakini chuma toka chato akajenga na hskuna stori

  • @marcomathew8439
    @marcomathew8439 3 дня назад

    Viva JPM

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 3 дня назад

    R.I.P.JPM

  • @gilbertwerema9870
    @gilbertwerema9870 3 дня назад

    Kadogosa anachanganya Guinea Bissau (Afrika magharibi karibu na Senegal) na Equitorial Guinea (Afrika ya kati karibu na Cameroon)

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 дня назад

    Muendeleze sio wanakujakuwatembelea arafu baadae hao hao wanakuja kuwapita kimaendeleo kwani yametokea hayo , fanyeni kwa vitendo zaidi ya hapo, manake wabongo maneno mengi vitendo sifuri

  • @seifseifmohamed7118
    @seifseifmohamed7118 3 дня назад

    Kadogosa ndugu, Guinea Bissau iko Senegal bro. Wacha usijizongeshe chungulia map kidogo

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 3 дня назад

    Gone but not forgotten Rest easy jpm Ulikua na maono Hatukusahau kwa alama hi Mama samia kazi iendelee